Utatamani kuona tukio lolote ambalo unaambiwa lilifanywa kwa suprise yani bila muhusika upande wa pili kufahamu kama ilikua imepangwa tena sanasana kwenye vitu vikubwa vya maisha kama ndoa au mapenzi.
Stori ya hii post inamuhusu jamaa mmoja alieamua kumfanyia suprise mke wake mtarajiwa ambae ni model na kuifanya proposal ya ndoa wakati ‘wife’ akiwa katikati ya kazi zake za kila siku.
Mmarekani Dr. James ndio mume mtarajiwa ambapo aliamua kuseti photo shoot feki ili aifanyie hiyo proposal bila mpenzi wake kujua kama kuna kitu kimepangwa, tazama hii video hapa chini uone ilivyokua.
Najua saa kadhaa zijazo kuna watu wangu wa nguvu wanafunga ndoa rasmi….. millardayo.com inawatakia all the best watu wangu wa nguvu!