Ikiwa ni takribani mwezi mmoja umepita tangu Soko Kuu la Biashara Kariakoo kutekea kwa moto, Ayo TV na Millardayo.com imezungumza na baadhi ya Wahanga waliohamishiwa Soko Kuu la Kisutu kwa ajili ya kutueleza hali ya Kibiashara ikoje.
“Ni Mwezi sasa tangu tulipopata janga la moto pale Kariakoo na tunaishukuru Serikali kwa kutusaidia na kuliona janga lile kwasasa tuko hapa Soko la Kisutu, hali ya kibiashara bado haijakaa sawa kwasababu wateja wetu wengi hawajajua tulipo”- Mfanyabiashara
VIDEO: RAIS SAMIA ALIVYOWASILI KUAGA MWILI WA WAZIRI WA ULINZI