Rais Samia Suluhu amemteua Dr. Stergomena Tax kuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa akichukua nafasi ya Marehemu Elias Kwandikwa na tayari amemuapisha, na hivi ndivyo alivyokaribishwa ofisini.
KWA MARA YA KWANZA KIKWETE KAFUNGUKA UTENDAJI KAZI WA RAIS SAMIA “MPAKA SASA ANAENDESHA NCHI VIZURI”