Mahakama nchini Uingereza imempa adhabu ya kutoendesha gari kwa miezi 23 na faini ya Euro 100 ( Tsh.
260,997.97), Sophie Nutter (29) kwa kosa la kuendesha gari akiwa amelewa na kuwadanganya Polisi kwa kuilamba Sanitizer ili kukata pombe bila kujua kuwa sanitizer inatengenezwa kwa kemikali zenye pombe (alcohol).
“Bila kujua kuwa sanitizer nayo imetengenezwa kwa pombe, akaiingiza mdomoni kidogo ili kipimo cha Polisi kisiweze kumbaini kuwa amekunywa kumbe akawa amezidisha matatizo” Jaji