Ni Machi 14, 2022 ambapo Waziri wa Mambo ya Ndani, Hamad Masauni alikutana na vyombo vya habari kisha akazungumza yale yaliyofanywa na Rais Samia katika kipindi cha Mwaka mmoja na yale yaliyofanywa katika Wizara yake.