Mwenyekiti wa TLP, Dkt. Augustino Mrema, alivyopokelewa nyumbani akiwa na Mke wake Doreen Mrema baada ya kutoka kufunga ndoa Kanisani.
Unaweza ukatazama picha mbalimbali hapa.
MREMA AFUNGUKA MAHARI ALIYOITOA KWA MKE WAKE MPYA “SUTI LAKI TATU, MAHARI MILIONI NNE”