Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi kupitia kwa Waziri mwenye dhamana na Wizara hiyo Prof. Makame Mbalawa ameomba Bunge kuidhinisha makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka Fedha 2022/2023 jumla ya Shilingi Trioni 3.86 Kati ya fedha hizo, Shilingi Trioni 1.46 ni kwa ajili ya Sekta ya Ujenzi na Shilingi Trioni 2.4ni kwa ajili ya Sekta ya Uchukuzi.
Miongoni mwa waliochangia ni Mbunge wa Nkasi Kaskazini Aida Kenani amezungumzia usafiri katika ziwa Tanganyika na kukarabati meli ya MV Liemba.
WAZIRI BASHUNGWA AZIONYA HALMASHAURI ZINAZOTOA MIKOPO KWA VIKUNDI HEWA, AJA NA UTARATIBU MPYA