Ni June 3, 2022 ambapo Rais wa Marekani, Joe Biden amesema juhudi zilizoko sasa za kudhibiti matumizi ya bunduki, sio kuhusu kuwanyang’anya watu silaha zao na amelitaka bunge la Marekani kuangalia upya sheria za kumiliki silaha.
Stori kamili unaweza ukabonyeza play kufahamu zaidi.