“Toka niingie madarakani, sera yangu ni kwamba hakuna tena serikali kufanya biashara na kwamba biashara ni kwa sekta binafsi. Serikali itakuwa mstari wa mbele kuweka mazingira wezeshi na si kufanya biashara na hili namaanisha” Rais Samia Suluhu Hassan wakati wa kongamano la wafanyabiashara wa oman na Tanzania na utiaji saini makubaliano ya ushirikiano kati ya sekta mbalimbali.