Mahakama ya Wilaya ya Iringa imemuhukumu kifungo cha miaka 30 na fidia ya Tsh. Milioni moja Kumbuka Mhotelwa mwenye umri wa miaka 30 mkulima na mkazi wa Kitwiru Wilaya ya Iringa kwa kosa la kumbaka Mtoto wake wa kumzaa mwenye umri wa miaka 6.
Akisoma hukumu hiyo Hakimu Mkazi Mwandamizi Emmy Msangalufu aamesema Mtuhumiwa amekutwa na hatia ya kutenda kosa hilo tareh 19/11/2020 ambapo alikuwa akiishi na Mke wake ambaye alikuwa mgonjwa na alikuwa na kawaida ya kushtuka usiku ili kuweza kunywa maji.
Kwa taarifa zaidi unaweza ukabonyeza play kufahamu zaidi.