Ni Mbunge wa Muheza Hamis Mwijuma a.k.a Mwana FA ameungana na Madiwani pamoja na Viongozi wengine katika kuhamasisha Wananchi katika zoezi la kuhesabiwa na kuwapa ushirikiano wa kila hali Maafisa wa Sensa.
Zoezi hilo la Sensa nchini linatarajiwa kufanyika tarehe 23 Agosti 2022.
Hapa nimekusogezea baadhi ya picha ushuhudie Mbunge Hamis Mwajuma aliungana na Mkuu wa Wilaya wakiwemo Madiwani huko Masuguru Wilaya Muheza.