Mmoja kati ya makarani wa Sensa wilayani Igunga mkoani Tabora aliyefahamika kwa jina la Edmund Zakayo.
Mwalimu wa Shule ya Msingi Buchenjegele amejinyonga usiku wa kuamkia siku ya Sensa huku akiacha ujumbe asilaumiwe mtu yeyote kutokana na tukio hilo.
Stori kamili unawea ukabonyeza play hapa.