Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni imemuhukumu kulipa faini ya Sh.Laki Mbili na Nusu (250,000) Mtoto wa Waziri wa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), George Simbachawene, James Simbachawene (24) baada ya kutiwa hatiani kwa makosa matatu.
Makosa hayo ni kuendesha gari kwa hatari, akiwa amelewa na kuendesha gari bila kuwa na bima.
Kwa stori zaidi unaweza ukabonyeza play kufahamu zaidi.