Mkuu wa Wilaya ya Geita, Wilson Shimo amewaagiza Mshauri wa Jeshi la Akiba Wilaya ya Geita pamoja na Mkuu wa kituo cha Polisi Wilaya ya Geita kuhakikisha wanayasaka baadhi ya Makampuni ya Ulinzi ambayo yamekuwa yakiajili wananchi ambao hawajapitia Mafunzo ya Jeshi la akiba kuyadhibiti na Badala yake yaajili waliopitia mafunzo hayo.