NI Kutokea Bujumbura nchini Burundi ambapo Benki ya CRDB inaendelea na shamra shamra za kusherekea miaka 10 ya uwepo wao nchini Burundi na time hii wamezindua huduma ya Premier Banking katika tawi la Inyenyeri ili kuhakikisha wanaendelea kutoa huduma bora kwa wateja wetu wa makundi mbalimbali nchini Burundi.
Katika uzinduzi huo Mgeni Rasmi alikuwa ni Waziri wa Fedha wa Jamhuri ya Burundi, Mhe. Audace Niyonzima alieambata na Wajumbe wa Bodi na Wakurugenzi wa kampuni Mama ya Benki ya CRDB pamoja na CRDB ya Burundi