Club ya Yanga SC imeingia Mkataba na Kampuni ya vifaa vya umeme ya Haier kuwa mdhamimi Mkuu wa michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika 2023.
Mkataba huo utaipa Yanga Tsh Bilioni 1.5 na Haier watakaa katika jezi za Yanga kifuani badala ya SportPesa.
Yanga wamelazimika kumuondoa SportPesa kwa sababu Shirikisho la soka Afrika CAF haliruhusu timu kuwa na mdhamini ambaye ni mshindani na mdhamini wa mashindano ya CAF (1xbet)
Hizi ni baadhi ya picha kutoka kwenye hafla hiyo unaweza ukazitazama hapa.