Chelsea imekubali kupokea pauni milioni 12 ili kumtoa kiungo wao Jorginho kwenda Arsenal.
Kwa mujibu wa Fabrizio Romano, makubaliano binafsi baina ya Arsenal na mchezaji yameafikiwa mkataba utaenda hadi 2024 ukiwa na kipengele cha kuongeza mwaka mmoja.
Mkabata wa kwanza umesainiwa jana usiku na leo vipimo vya afya vitafuata.