Februari 09, 2023 makamu mwenyekiti wa Chadema Tundu Lisu amefika ofisi ya Kamanda wa Polisi mkoa wa Dodoma kwaajili ya kufuatilia gari alilolitumia wakati aliposhambuliwa mwaka 2017 wakati akitoka bungeni.
Lissu amefika ofisini hapo na hakumkuta kamanda wa Polisi kufuatia ajali iliyopelekea vifo vya watu 12 wilayani Kongwa akiwa nje ya ofisi hizo amezungumza na wanahabari.