Mchezo wa kula umeendelea kua mchezo pendwa Kwa Wakazi wa Morogoro baada ya mamia ya wakazi wa mji huo kujitokeza kushuhudia namna watu wenye uwezo WA Kula wakiibuka washindi
Hapa ni katika stendi ya zamani ya daladala mjini Morogoro ambapo yanafanyika mashindano ya Kula yanayofahamika kama mashindano ya tonge nyama ambapo kila washiriki watano wanajitokeza Kula wali na nyama jumla kilo Mbili na Maji Lita moja.