Ni April 8, 2023 ambapo Uongozi wa kampuni ya GSM iliandaa futari kwaajili ya wafanyakazi wake na wageni waalikwa.
Hafla hiyo imefanyika katika Ukumbi wa The Dome uliopo Masaki Dar es Salaam huku Mkurugenzi wa kampuni hiyo Ghalib Said Mohamed akiwa kama mgeni rasmi.