Ni Shirika la Umoja wa Mataifa UNFPA na Ubalozi wa Denmark Mei 9, 2023 wamekabidhi rasmi kwa Serikali Jengo maalum la Upasuaji na Wodi yakina mama pamoja na gari moja ‘Ambulance’.
Hafla hiyo imefanyika katika Kituo cha Afya Dabalo, Chamwino Mkoani Dodoma huku Mgeni Rasmi alikuwa ni Mheshimiwa Waziri Wa TAMISEMI Angella Kairuki.