Mbali na kwamba GSM wanajivunia Mapinduzi makubwa na kuwa brand namba moja inayotoa bidhaa na huduma za viwango vya kimataifa na shopping experience ya kipekee.
Sasa leo Mei 26, 2023 wametangaza kupunguza bei mpaka punguzo la asilimi 60 kwa bidhaa za ndani ambapo mteja wao unapofika katika Maduka ya GSM Home ikiwemo Mikocheni, Mlimani, Masaki, Salamander, Home Box Msasani, 🆕 Pugu, and Dodoma utaweza hudumiwa bidhaa zao zilizopunguzwa kwa asilimia 60% wahi sasa.
Kwa mawasiliano zaidi wapigie 0745 000 000 wakuhudumie kile unachohitaji kutoka GSM Mall.