Baada ya kufanyika kwa tukio la kihistoria kwa Yanga na ulimwengu wa soka kwa Marais wawili wa Nchi mbili tofauti Rais wa Malawi Lazarus Chakwera na Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania kuzindua jezi za Club hiyo Ikulu.
Sasa Uongozi wa Yanga walitangaza kupatikana kwa Jezi hizo mpya kwenye maduka ya GSM Mall na Maduka ya Vunja Bei.
Wananchi hawajasubiri pakuche wamiminika katika Duka la Vunjabei kutaka jezi mpya za Yanga 2023/24 tazama hapa.