Stori kamili unaweza ukabonyeza play kumsikiliza alichozungumza Shukurani Balitima.
Julai 5, 2023 Mkurugenzi mtendaji wa Clouds Media Group, Joseph Kusaga alipost video clip ikimuonesha Shukurani Balitima ikiwa kama sehemu ya kuvutiwa na maneno ya Mkulima huyo ambae alisikika katika video clip hiyo akishukuru kutosheka na Ugali kwa mboga ya Majani ya Maboga.
Stori kamili unaweza ukabonyeza play kumsikiliza alichozungumza Shukurani Balitima.