Mama wa kambo wa binti anayeishi katika kata ya ngarenaro Mkoani Arusha anadaiwa kumshauri binti anayeishi naye kutoa ujauzito aliyopewa huku mwanaume huyo akitaka kwenda kuzika kichanga hicho.
Kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio hilo wamesema mwanaume huyo aliletewa kichanga hicho kwenye mfuko baada ya mama huyo wa kambo kumtaka binti huyo atoe ujauzito huyo ili aolewe na mwanaume mwingine.