Amplifaya ni show inayosikika kuanzia Jumatatu mpaka Ijumaa on Clouds FM Tanzania ikihusu habari 10 za siku zinazohesabiwa kwenye dakika 120, za siasa, muziki, michezo, movies na mengine mengi ambapo hizi ni za Alhamisi February 19, 2015.
#AMPLIFAYA #Feb19 #10 Aliefanyiwa ubaguzi na mashabiki wa Chelsea France asema alijua anabaguliwa lakn hakuwa anaelewa wanachosema #English
— millardayo.com (@millardayo) February 19, 2015
#AMPLIFAYA #Feb192015 #9 Sajna ‘Wengi hawajui nimeachana na Kidbway, nina mpango wa kurudi Tetemesha, bila Kid siwezi chochote’ — millardayo.com (@millardayo) February 19, 2015
#AMPLIFAYA #Feb192015 #8 Serikali ya Wanafunzi IFM yakanusha kutangaza ‘kumtaka Lowassa kuwania Urais’ taarifa za gazeti hazijatoka kwao.
— millardayo.com (@millardayo) February 19, 2015
#AMPLIFAYA #Feb19 #7 Kwa ninI T.I.D hajaoa mpaka sasa? >> ‘Kwa namna moja ukiwa kwenye uhusiano serious inakupunguzia makali ya kazi’ — millardayo.com (@millardayo) February 19, 2015
#AMPLIFAYA #Feb19 #6 Pamoja na headlines zao za kuchukuliana Wanawake, The Dream kasema hana tatizo kufanya muziki na Lil Wyne
— millardayo.com (@millardayo) February 19, 2015
#AMPLIFAYA #Feb19 #5 Mbinu mpya ya chanjo imeonekana kuwakinga nyani dhidi ya virusi vya HIV,ripoti ya wanasayansi wa Marekani. £BBC — millardayo.com (@millardayo) February 19, 2015
#AMPLIFAYA #Feb19 #4 Suti ya Waziri mkuu aliyoinunua kwa MILIONI 29 Tsh kumpokelea Obama India kupigwa mnada, ni baada ya kelele za Wananchi
— millardayo.com (@millardayo) February 19, 2015
#AMPLIFAYA #Feb19 #3 Promota aliyempeleka O.Dimpoz U.S > ‘Kurudishwa ulikotoka ni kawaida, tuliwahi kuwaleta P Square wakarudishwa vilevile’ — millardayo.com (@millardayo) February 19, 2015
#AMPLIFAYA #Feb192015 #2 Mwanamke (30yrs) Ruvuma kashikwa na Polisi, ni kwa kutaka kumuuza Mama yake mdogo kwa Mfanyabiashara amtoe Kafara.
— millardayo.com (@millardayo) February 19, 2015
#AMPLIFAYA #Feb19 #1 Alitaka kumkatakata Mama yake mdogo amuweke kwenye gunia, bei aliyoanzia kumuuza ilikua MILIONI 10 akashuka mpaka 6.5 — millardayo.com (@millardayo) February 19, 2015
Nitaendelea kukupatia kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia twitter instagram na facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza >>> twitter Insta Facebook