Mara ya kwanza ilikua ni zamu ya Iyanya kushirikishwa na Diamond Platnumz lakini time hii ni zamu ya Diamond kushirikishwa na Mnigeria huyu staa wa hit single ikiwemo ‘Mr. Oreo‘
Iyanya ameamua kuiita hii single jina la Kiswahili ‘Nakupenda’ (I Love you) ambayo unaweza kuisikiliza kwa kubonyeza play hapa chini, usiache kutuandikia yako maoni baada ya kuusikiliza mtu wangu
Nakuhakikishia kwamba nitakufikishia kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia Twitter, Instagram, na Facebook, ukijiunga na mimi kwa kubonyeza >>> > twitter Insta Facebook