Michezo

DoneDEAL: Nickson Kibabage aungana na Msuva Difaa El Jadid

on

Beki Nickson Kibabage aliyeng’aa na timu ya taifa ya Tanzania ya vijana wenye umri chini ya miaka 17 Serengeti Boys, iliyoshiriki Michuano ya AFCON 2019 nchini Gabon kapata timu.

Kibabage baada ya kucheza Tanzania kwa miaka miwili baada ya kucheza fainali hizo za vijana za AFCON, kwa mujibu wa Mwanaspoti ni kuwa amesajiliwa na club ya Difaa El Jadid ya Morocco kwa mkataba wa miaka minne.

Nickson Kibabage anakuwa mtanzania wa pili kujiunga na club hiyo ya Difaa El Jadid ya Morocco, baada ya Simon Msuva kujiunga na timu hiyo pia akitokea Yanga SC misimu miwili iliyopita.

Soma na hizi

Tupia Comments