Michezo

Rais wa TFF amepangiwa majukumu mapya na CAF

on

Usiku wa January 11 2018 kutoka Casablanca Morocco zimeripotiwa good news kwa Rais wa shirikisho la soka Tanzania TFF Wallace Karia kuteuliwa na shirikisho la soka Afrika CAF kuwa kamishna wa game ya CHAN.

CAF wametangaza kumteua Wallace Karia kuwa kamishna wa game ya ufunguzi wa michuano ya CHAN itakayochezwa katika mji wa Casablanca January 13 2018 kati ya Morocco dhidi ya Mauritania.

Alichokifanya Simon Msuva kwa Wakati Ujao Youth Academy

Soma na hizi

Tupia Comments