Habari za Mastaa

Aliyemtoa Hamisa kimuziki, kaweka wazi chanzo cha kupishana naye “Kaona kafanikiwa”

on

Msanii Foby ambaye amedai kuwa ndiye mtu aliyemtoa kimuziki Hamisa Mobeto baada ya kumuandikia wimbo wake wa Madam Hero na baadhi ya nyimbo nyingine zilizotoka, amezungumza kuhusu sakata lake na Hamisa ambapo amedai kuwa ilimuumiza kuona mtu aliyemsaidia akimnyima ushirikiano kwenye kazi zake kama yeye alivyokuwa akimpa.

Bonyeza PLAY hapa chini kutazama INTERVIEW.

Soma na hizi

Tupia Comments