Habari za Mastaa

PICHA 18: Umati ulivyojitokeza kwenye mazishi ya Baba wa Alikiba na Abdukiba

on

Leo January 17, 2018 Baba mzazi wa Alikiba na Abdukiba amezikwa katika makaburi ya Kisutu jijini Dar es Salaam na kuhudhuliwa na watu mbalimbali wakiwemo watu maarufu kama Dkt. Kigwangala, Mr Blue, Dully Syeks, Mwana FA na wengine wengi.

Karibu millardayo.com kutazama picha 18 kutoka kwenye mazishi hayo.

Soma na hizi

Tupia Comments