Premier Bet
TMDA Ad

Michezo

Azam FC wamepeleka pigo la tatu Singida United

on

Baada ya club ya Singida United ya Singida kumpoteza aliyekuwa kocha wao raia wa Uholanzi Hans van Pluijm na kiungo wake raia wa Zimbabwe Kutinyu kwa kujiunga na Azam FC.

Leo June 13 2018 kuna taarifa mpya zimeripotiwa kutoka Azam FC kuwa wamefikia makubaliano ya kumrudisha kiungo wao wa zamani Mudathir Yahaya katika himaya yao.

Azam FC leo imefanikiwa kuingia mkataba wa miaka miwili na Mudathir Yahaya akitokea Singida United, taarifa hizi haziwezi kuwa njema kwa mashabiki wa Singida kwani wanampoteza mtu wa tatu muhimu katika kikosi chao.

FULL VIDEO: Zilivyotolewa tuzo za MO Simba Awards 2018

Soma na hizi

Tupia Comments