Let’s be Cops,Hercules,Planes Fire & Rescue 3D,Guardian of the galaxy na nyingine ni baadhi ya movie unazoweza kwenda kuzicheki kwenye theaters za bongo. Cheki ratiba kwenye theater uipendayo ukacheki movie kati ya hizi.
Kuanzia August 15 hadi 21, hizi ndizo movie zitakazoonyeshwa kwenye theaters.

Leave a comment
Leave a comment