Habari za Mastaa

Hii ndio nyumba ya mzee Majuto iliyopo Tanga mjini

on

 

Kutoka Tanga mjini hii ndiyo nyumba ya marehemu Mzee Majuto ambaye aliijenga kutokana na fedha alizozipata kupitia kazi yake ya uigizaji. Sasa Ayo TV imefika mapa Tanga ambapo imezungumza na mwenyeji ambaye ameelezea historia fupi kuhusu nyumba hiyo. Bonyeza PLAY kutazama VIDEO

VIDEO: MSIKITI ALIOJENGA MZEE MAJUTO NA NYUMBA ANAZOMILIKI 

Soma na hizi

Tupia Comments