Top Stories

Miaka 10 ya M-Pesa, Wazee wasimulia walivyokuwa wakituma hela kwa Basi (+video)

on

Je unakumbuka kabla ya M-Pesa watu walikuwa wakitumia njia gani kutuma pesa sehemu za mbali? hawa hapa wazee wanatukumbusha enzi zao walivyokuwa wakituma pesa kabla ya Mpesa ikiwa ni miaka kumi ya Vodacom kusherehekea mafanikio ya M-Pesa. Bonyeza PLAY hapa chini kutazama.

VODACOM wamfuraisha mkazi wa Mbagala aondoka na Gari

Soma na hizi

Tupia Comments