Breaking News

AJALI: Daladala imegonga Train asubuhi hii Morogoro

on

Habari iliyonifikia asubuhi hii ya August 24, 2017 kutoka Morogoro ni kuwa watu kadhaa wamejeruhiwa baada ya daladala walilokuwa wanasafiria kugonga Train maeneo ya TANESCO.

Ayo TV na millardayo.com zinaendelea kufuatilia na zitakupa UPDATES kila zinapopatikana…

Mapokezi ya Manusura wa ajali ya basi la Wanafunzi wa Lucky Vincent

Soma na hizi

Tupia Comments