Top Stories

SEHEMU YA PILI: Kwanini Scott hakutaka kula bata na gari alilopewa na Baba yake..?

on

Kijana wa miaka 19 anayefahamika kwa jina la Scott Samson ambaye alipewa zawadi na Baba yake ya gari aina ya Toyota Altezza na kuamua kuiuza kisha kuongezea fedha kutoka kwa wazazi wake na biashara zake zingine na kuanzisha baishara yake ya Pizza ambayo amewekeza zaidi ya Million 75.

Sasa hii hapa ni sehemu ya pili ambayo Scott ameelezea kwanini aliamua kuuza gari alilopewa na Baba yake na kusave hela kwa ajili ya Biashara hiyo na siyo kama baadhi wanavyoamua kutumia tu kwenye maisha yao mengine ya starehe.

Bonyeza PLAY kutazama akizungumza.

Nambiza ya zinduliwa rasmi, watambulisha wasanii Wawili, BASATA yatoa Baraka zake

“Mimi ni Boss Lady, Sijamuiga Zari jina, Wema hajajiita TZ sweetheart” – Husna Maulid

Soma na hizi

Tupia Comments