Top Stories

Ni kesi ya Mbunge Godbless Lema leo tena Mahakamani…

on

Mahakama ya Wilaya ya Arusha imeahirisha kumsomea maelezo ya awali ya kesi mbili za uchochezi zinazomkabili Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema kutokana na upande wa Serikali kudai kwamba Jalada la kesi hiyo bado lipo kwa Mkurugenzi wa Mashtaka.

Wakili wa Serikali Agnes Nyera ameiomba Mahakama kuahirisha shauri hilo kwa kuwa hawataweza kumsomea maelezo ya awali kutokana kutokuwa na Jalada hivyo ameahidi kumsomea wakati ujao.

Hakimu anayesikiliza kesi hiyo Devotha Msofe ameahirisha kesi hadi September 20, 2017 huku akiutaka upande wa mashtaka kuhakikisha wanawasilisha maelezo ya awali Mahakamani hapo.

Hali ya Ester Bulaya akiwa Hospital baada ya kuugua akiwa rumande…tazama hapa chini kwa kubonyeza play kwenye hii video!!!!

Walichosema Lema na Mnyika kuhusu mauaji ya Kibiti Bungeni…tazama hapa chini!!!

Soma na hizi

Tupia Comments