Habari za Mastaa

Hatimaye Dogo Janja kaongea “Yupo mwanamke anayesimamia muonekano wangu”

on

Msanii wa Bongofleva Dogo Janja amezungumza kwa mara ya kwanza kupitia AyoTV na millardayo.com kuhusu mwanamke mwingine anayesimamia muonekano wake ikiwa ni muda sasa akihusishwa na kudaiwa kuwa ameachana na mke wake Irene Uwoya.

Roma kafunguka ” Natamani Ruge angekuepo, bila kufeki pengo lake linaonekana”

 

Soma na hizi

Tupia Comments