Habari za Mastaa

Full Shangwe kutoka kwenye uzinduzi wa nyimbo 3 mpya za Darassa, Mastaa wajitokeza

on

Usiku wa jana April 7, 2018 msanii Darassa aliachia video za nyimbo zake tatu ambapo aliwaalika baadhi ya mastaa wakiwemo wasanii na wadau mbalimbali na nyimbo hizo ambazo ameziachia Darassa siku ya jana ni pamoja na ‘Leo’ aliomshirikisha Jux, ‘Relax’ ambao ameimba mwenyewe na ‘Tumepoteza’ aliomshirikisha Maua Sama.

Bonyeza PLAY hapa chini kutazama video kutoka kwenye uzinduzi huo.

DJ FETTY KAUTAJA WIMBO ANAOUKUBALI KATI YA NYIMBO 3 MPYA ZA DARASSA ALIZOZIACHIA

‘MIMI NA VANESSA HAKUNA TATIZO LOLOTE TUKO SAWA’ – JUX

Soma na hizi

Tupia Comments