Habari za Mastaa

EXCLUSIVE: Ruby kafunguka, kataja jinsia ya mtoto wake “Ndoa very soon”

on

Ni headlines za mwimbaji Ruby ambaye hivi karibuni amepata mtoto na hakuweka wazi kuhusu jinsia na jina la mtoto huyo sasa kupitia AyoTV na millardayo.com Ruby amezungumza kwa mara ya kwanza kuhusu jinsia ya mwanae ikiwemo swala la yeye kufunga ndoa mpenzi wake Kusah ambaye amedumu naye kwa muda wa zaidi ya mwaka kwa sasa.

Bonyeza PLAY hapa chini kutazama FULL INTERVIEW

PIERRE “YANI TRENI YA UMEME IMEWAKA HIYOOO, MWEWE JUU YA MWEWE, YAMOTO BALAA”

“MIMI NI DHAHABU, SIJALI NINI TID ANAONGEA, HAJAWAHI KUNISUMBUA, ALIPOPITA CHID BENZI NIMEPITA PIA”

Soma na hizi

Tupia Comments