Habari za Mastaa

AFYA YA MAPENZI: Mwijaku kazitaja tabia za wapenzi wanao chepuka Valentine’s day

on

Wakati ikiwa inaelekea February 14, 2018 siku ya wapendanao huwaga yanatokea mengi kwenye couples tofauti tofauti, sasa AyoTV na millardayo.com zimempata Mwijaku mwigizaji aliyetamba sana kwenye tamthilia ya mahusiano ya kimapenzi pamoja na mtaalamu wa ushauri na tiba kuhusu mahusiano ya kimapenzi Dr Fadhili Hamir waliofunguka kuhusu afya ya mapenzi zikiwemo sifa za wapenzi wanaochepuka.

Bonyeza PLAY hapa chini kutazama VIDEO

VIDEO: Kutana na wanafunzi wa UDSM waliotengeneza APP ya ‘kumuita mwalimu mpaka ulipo’

Soma na hizi

Tupia Comments