Video Mpya

VideoMPYA: Baada ya miezi 10 ya ukimya, Maua Sama karudi tena na hii

on

Mwimbaji wa Bongofleva Maua Sama hatimaye amerejea rasmi na kuachia video ya wimbo wake mpya baada ya kukaa kimya kwa zaidi ya miezi kumi toka alipoachia wimbo wake wa Iokote  aliokuwa kamshirikisha Hanstone, unaweza kubonyeza PLAY kuitazama video yenyewe.

MWAKYEMBE “MWISHO WA WASANII KUBURUDISHA BURE UMEFIKA”

Soma na hizi

Tupia Comments