PICHA 20: Mapokezi ya Rayvanny na Tuzo yake ya BET Airport DSM leo
Share
0 Min Read
SHARE
Mwimbaji wa Bongofleva Rayvanny kutoa WCB amewasili leo June 28, 2017 akitokea Marekani ambako alishinda tuzo ya BET ya Viewers Choice Best New International Act Artist ambapo aliwasili Airport DSM na kupokelewa na mashabiki wake.