Habari za Mastaa

A$AP Rocky katuletea hii video mpya ya wimbo wake, Rihanna aonekana (video+)

on

Ni Headlines za Rapper kutokea nchini Marekani, A$AP Rocky ambae time hii ameachia video mpya ya wimbo wake uitwao D.M.B

Katika video hii mpya ameonekana Rihanna ambae siku zijazo anatarajia kuitwa Mama wa Mtoto wa Rapper huyo.

Tupia Comments