Top Stories

PICHA 8: JK, Lowassa, Mkapa na Maalim seif walivyokutana wakimuaga Mzee Kingunge

on

Leo February 5, 2018 Mwili wa Mwanasiasa Mkongwe nchini Mzee Kingunge Ngombale Mwiru unaagwa katika viwanja vya Karimjee Jijini Dar es Salaam muda huu nimekusogezea Picha kutoka eneo la tukio shuka chini kuweza kutazama.

Viongozi mbalimbali waliohudhuria ni Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan, Marais Wastaafu Jakaya Kikwete, Ali Hassan Mwinyi, Benjamin Mkapa, Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa, Makamu wa Rais Mstaafu Gharib Bilal, Mama Maria Nyerere na Waziri wa TAMISEMI Selemani Jafo
 

MAZISHI JUMATATU: Bado Haijulikani ni Dini gani itamzika Mzee Kingunge?

Soma na hizi

Tupia Comments