Waandaji wa Tamasha la The Maasai Festivals wamekutana na Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii Dkt. Abbas kwa ajili ya kufungua zaidi sekta ya utalii kupitia matamasha mkubwa.
Dkt Abbas amewapongeza wadao hao kwa juhudi zao huku akizitaka Taasisi za Serikali za Utalii kushirikiana na wadau mbalimbali katika kukuza na kuutangaz utalii.
Tamasha hilo linatarajia kufanyika mwezi wa nane mwaka huu huku likitarajia kushurikisha mataifa mbalimbali.