Top Stories

Abby Chams ahojiwa katika kipindi hiki cha runinga nchini Marekani

on

NI Binti wa kitanzania Abby Chams ambae time hii anaingia kwenye rekodi ya kuwa miongoni mwa mabinti waliopata fursa ya kuhojiwa kwenye kituo kikubwa cha runinga nchini Marekani.

Abby Chams kwa mara ya kwanza ameonekana kwenye show hiyo mwanadada Kelly Clarkson wakizungumzia siku ya mtoto wa kike duniani. (Siku ya Binti)

katika kipindi hiki Abby aliungana na mabinti wengine kuelezea mambo mbalimbali yanayomuhusu mtoto wa kike hususani katika kuadhimisha siku ya mtoto wa kike duniani.

Inaelezwa kwamba Abby Chams ameweza kupata  nafasi hiyo baada ya kujituma katika jitihada zake za kuinua mabinti kupitia program yake ya Teentalk with Abby .

USICHOKIFAHAMU KUHUSU WASANII ABBY&ABRAHAM “NATAMANI NIIMBE NA DIAMOND, MIMI MARS, HIPHOP NI EMINEM”

 

Tupia Comments