Habari za Mastaa

Abdukiba kafunguka Harmonize siyo tishio kwake wala kwa Alikiba (+ video )

on

Msanii kutokea record lebo ya King’s Music Abdukiba amesema hamuoni msanii Harmonize kuwa tishio kwa kaka yake Alikiba na hata yeye mwenyewe kwani yeye anaamini amemzidi vitu Harmonize kiasi kwamba hawezi jilinganisha naye wala kumlinganisha King Alikiba.

…>>>“Huwezi kumzungumzia Harmonize ukamuweka Ali labda ungefikiria kwa kina Chidy, Killy au Kituga kwa sababu hata bado kwa Young king hajafika, sitaki kuzungumzia sana lakini huwezi kumfananisha na king ikiwa hata kwangu mimi hajafika, nina uwezo wakuimba zaidi yake yeye na nina kila kitu sasa kwanini umfananishe na King?” Abdukiba

Bonyeza PLAY hapa chini kutazama FULL INTERVIEW

VIDEO: MWIGIZAJI WA KENYA KAFUNGUKA ALIVYOTOKA KIMAPENZI NA ALIKIBA NA KUMCHORA TATTOO

Soma na hizi

Tupia Comments