Video Mpya

VideoMPYA: Huyu hapa Young Lunya ameileta kwako ‘Tikisa’ ft Country Boy

By

on

Mwimbaji Young Lunya kutokea kwenye kundi la OMG ameidondosha singel yake ya kwanza kama solo artist akiwa amemshirikisha Country Boy kwenye ngoma ya ‘Tikisa’ ambayo imetayarishwa na Ammy kutokea studio ya Switch Records.

AUDIO: Amber Rutty “Kuna utofauti mkubwa kati yangu na Davil kwenye video”

Soma na hizi

Tupia Comments